Msaada sehemu ya kupata chocolate na giftbox kwa bei ya jumla

Du. Umeingia Dar lini? Eneo maarufu sana hili kwa bidhaa za jumla. Kariakoo na maeneo mengine ni ya juzi juzi tu lakini Kitumbini ndiyo chimbuko hasa la kununua bidhaa za jumla.
Mimi mtaa naufahamu ila kujua kua unaitwa kitumbini nilikua sijui kwakweli hapa ndo mmenifungua jina la mtaa.
 
Naombeni kama kuna anaejua wanapouza gift boxes kwa bei ya jumla pia[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…