Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mimi mtaa naufahamu ila kujua kua unaitwa kitumbini nilikua sijui kwakweli hapa ndo mmenifungua jina la mtaa.Du. Umeingia Dar lini? Eneo maarufu sana hili kwa bidhaa za jumla. Kariakoo na maeneo mengine ni ya juzi juzi tu lakini Kitumbini ndiyo chimbuko hasa la kununua bidhaa za jumla.