long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,064
- 1,012
Wakuu habari,hongera na poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki ya kila siku.
Kufupisha habari ni kwamba nina hiyo gari ( Outlander 2007) na siijui vizuri kwakweli. Naomba msaada nataka nikafanye service kwa mara ya kwanza ya vitu vifuatavyo:
1. Engine oil
2. Oil ya gear box
3.Transimission oil
4. Oil ya usukani
Na oil zingine ambazo sizifahamu za gari hii.
Nawashukuru in advance.