The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
2. Oil ya gear box.
3. Transmission oil.
Mleta mada, no.2 na no.3 ni kitu kile kile nadhani.
-Kaveli-
Ajichanganye kwa mafundi wale wa chini ya miembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2. Oil ya gear box.
3. Transmission oil.
Mleta mada, no.2 na no.3 ni kitu kile kile nadhani.
-Kaveli-
Najua vipi kama gari ni CVT?1. 5W30 Full Synthetic, brand yoyote original. Kiasi Lita 4.5 ukibadirisha na filter.
2. ATF ngumu kushauri kwasababu haujasema transmission yake ni CVT au? CVT nyingi nimeona zinatumia CVTF-J4 ni OEM ya Mitsubishi. Gari zipo selective kwenye CVT fluid kua makini. JATCO wanatengeneza transmission za CVT nzuri ila challenge yao ndio hapo kwenye kuchagua fluid yake.
Sasa hawa JATCO wana fluid zake ndio ukipata ndio unyama.
NB: JATCO (Japan Transmission Company) ni kampuni la Kijapan linalotengeneza Automatic Transmissions mbalimbali ikiwemo CVT transmissions (hakuna kampuni jingine linalotengeneza CVT) na kuwauzia makampuni kama Nissan, Mitsubishi etc. Kwahiyo ukipata fluid zake, umepiga mshono.
Kiasi ni kutegemea na unatop au unabadirisha yote, ila full drain ni 4.2L hivi.
3. Namba 2 na 3 sawa.
4. Hapa chekiana na mafundi. Ila iwe PSF ya Mitsubishi.
cc ngapi?Najua vipi kama gari ni CVT?
2350cc ngapi?
Najuaje Mkuu?
Hapo nilitaka kuandika ile ya diffrential2. Oil ya gear box.
3. Transmission oil.
Mleta mada, no.2 na no.3 ni kitu kile kile nadhani.
-Kaveli-
Nipe namba yake nikuadd kwenye group la wamiliki wa outlander nchi nzima. Wanatoa ushauri kuhusu hilo gari pendwa. Tupo zaid ya 300
Andika model ya gari yako google utapata taarifa zote kuanzia engine, trans, tyre na mengineyo, kwa upande wa service pitia hata Youtube utaweza ona namna inavyofanyikaNajuaje Mkuu?
Naomba link ya hilo group maana na mimi ni mmoja wao tafadhaliNipe namba yake nikuadd kwenye group la wamiliki wa outlander nchi nzima. Wanatoa ushauri kuhusu hilo gari pendwa. Tupo zaid ya 300
Tukianza na Engine Oil, recommend oil kulingana na Manufacturer ni 0W-20 with SN API indication. Lakini pia unaweza tumia 5W-30 kama mbadala kutokana na mazingira yetu lakini pia iwe na symbol ya SNWakuu habari,hongera na poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki ya kila siku.
Kufupisha habari ni kwamba nina hiyo gari ( Outlander 2007) na siijui vizuri kwakweli. Naomba msaada nataka nikafanye service kwa mara ya kwanza ya vitu vifuatavyo:
1. Engine oil
2. Oil ya gear box
3.Transimission oil
4. Oil ya usukani
Na oil zingine ambazo sizifahamu za gari hii.
Nawashukuru in advance.
Umenena vyema nami nimepokea elimu hapa.Tukianza na Engine Oil, recommend oil kulingana na Manufacturer ni 0W-20 with SN API indication. Lakini pia unaweza tumia 5W-30 kama mbadala kutokana na mazingira yetu lakini pia iwe na symbol ya SN
View attachment 3026628
Engine Oil unaweza tumia PUMA, LIQUIMOLY, ATLANTIC, CASTROL & TOTAL ila uzipate kwenye vituo vyao vya mafuta au kwa trusted dealers
View attachment 3026644
2. Kuhusu Gearbox Oil kwa model hio ya 2007, karibu zote zinatumia CVTF-J1 (Kama utafanya complete flush basi itakubidi uandae lita 7.8, ila kama unafanya normal drain and fill basi itakuwa around 5.6 lita (Ila wengi wanafanya kupima kiasi kinachotoka na kurudisha kiasi hicho hicho)
NOTE: Kuna upgrade ya CVTF-J1 ambayo ni CVTF-J4, hii ilitengenezwa kusolve issue ya overheating ambayo ilikuwa reported mara kwa mara kwenye gari za Mitsubishi zilizokuwa zinatumia CVTF-J1.......Hivyo unaweza pia kuitumia kama mbadala for improved performance and fuel economy.
View attachment 3026651
View attachment 3026635
Kingine kama utatumia CVTF-J4, Itakupeleka mpaka km 40,000 ndio ubadilishe gearbox oil nyingine
View attachment 3026641
3. Transmission Oil una maanisha nini? maana gearbox oil ndio transmission oil yenyewe ila kama una maanisha Transfer Oil (Differential/rear axle) basi tumia HYPOID GEAR OIL API CLASSIFICATION GL-5 SAE 80 au 90 cheki hapo juu kwenye specifications.
4. Kuhusu STEERING FLUID hapo recommended ni ATF DEXRON III au DEXRON II
View attachment 3026658
Enjoy Mitsubishi Outlander brother.
Kama una swali jingine uliza.
Kuna Fundi ambae nimeikuta kununua Dumu la Lt 20 la oil engine nahisi ilikuwa SAE 40. Kuna wateja wanaleta gari/ wanampigia akachukue gari lilipo na kulileta ofisini kwake. Anachukua Ile oil anaiweka kwenye Dumu la Lt 4 au Tano anaiweka kwenye gari, then mteja anaonyeshwa Lile Dumu analipa anasepa. Ukimwambia nataka 10W30 anatafuta Dumu la hivyo. Wateja wengi hawakagui so yy haweki seal..Hongera kwa kuzingatia services ukishajua oil gani zitumike nenda kwa authorized dealer au vituo vya mafuta kama total oryx na puma nunua oil mwenyewe...mafundi wengine si waaminifu watakuwekea oil ya bei chee na chini ya kiwango ili apige hela
kama ndio service ya kwanza au ndio gar la kwanza ni bora kuangalia fundi mwaminifu au garage kubwa inayofahamika kubari kutoboka mfuko ili wakufanyie service inayoeleweka na kwa uaminifu mda huo unaangalia wa bei nafuu ambae anaweza kufanya service na repairs kwa affordable price bila kona nyingiWakuu habari,hongera na poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki ya kila siku.
Kufupisha habari ni kwamba nina hiyo gari ( Outlander 2007) na siijui vizuri kwakweli. Naomba msaada nataka nikafanye service kwa mara ya kwanza ya vitu vifuatavyo:
1. Engine oil
2. Oil ya gear box
3.Transimission oil
4. Oil ya usukani
Na oil zingine ambazo sizifahamu za gari hii.
Nawashukuru in advance.
Hilo group bado una access nalo?Nipe namba yake nikuadd kwenye group la wamiliki wa outlander nchi nzima. Wanatoa ushauri kuhusu hilo gari pendwa. Tupo zaid ya 300
🫡Tukianza na Engine Oil, recommend oil kulingana na Manufacturer ni 0W-20 with SN API indication. Lakini pia unaweza tumia 5W-30 kama mbadala kutokana na mazingira yetu lakini pia iwe na symbol ya SN
View attachment 3026628
Engine Oil unaweza tumia PUMA, LIQUIMOLY, ATLANTIC, CASTROL & TOTAL ila uzipate kwenye vituo vyao vya mafuta au kwa trusted dealers
View attachment 3026644
2. Kuhusu Gearbox Oil kwa model hio ya 2007, karibu zote zinatumia CVTF-J1 (Kama utafanya complete flush basi itakubidi uandae lita 7.8, ila kama unafanya normal drain and fill basi itakuwa around 5.6 lita (Ila wengi wanafanya kupima kiasi kinachotoka na kurudisha kiasi hicho hicho)
NOTE: Kuna upgrade ya CVTF-J1 ambayo ni CVTF-J4, hii ilitengenezwa kusolve issue ya overheating ambayo ilikuwa reported mara kwa mara kwenye gari za Mitsubishi zilizokuwa zinatumia CVTF-J1.......Hivyo unaweza pia kuitumia kama mbadala for improved performance and fuel economy.
View attachment 3026651
View attachment 3026635
Kingine kama utatumia CVTF-J4, Itakupeleka mpaka km 40,000 ndio ubadilishe gearbox oil nyingine
View attachment 3026641
3. Transmission Oil una maanisha nini? maana gearbox oil ndio transmission oil yenyewe ila kama una maanisha Transfer Oil (Differential/rear axle) basi tumia HYPOID GEAR OIL API CLASSIFICATION GL-5 SAE 80 au 90 cheki hapo juu kwenye specifications.
4. Kuhusu STEERING FLUID hapo recommended ni ATF DEXRON III au DEXRON II
View attachment 3026658
Enjoy Mitsubishi Outlander brother.
Kama una swali jingine uliza.
Mkuu samahani njoo hapa unipe ushauri ila usinisimange 🤣🤣 nimenunua Brevis linatembea ile mbaya ila naomba kujua ni oil gani nzuri kwa injini hii 1JZ FSE na inawekwa Lita ngapi na transmission oil pia niweke ipi na ni lita ngapi?1. 5W30 Full Synthetic, brand yoyote original. Kiasi Lita 4.5 ukibadirisha na filter.