long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,064
- 1,012
NashukuruDah ngoja waje ndugu
Asante kiongozi.Ukifungua kwenye bonet ya gari kuna sehemu kwenye injini huwa wanabandika karatasi ya maelezo ipi ni oil special ya gari lako fungua uangalie...
Okay. Nisije sababisha matatizo.Baadiilisha engine oil na oil filter tu.
Pia badilisha na air cleaner
Hizo oil nyingine ziangaliwe tu kama zipo kwenye hali gani, kama ni nzuri huwa haazibadilishwi mara kwa mara
Hili ndio gari yangu ya kwanza ya mitsubishi kununua.2. Oil ya gear box.
3. Transmission oil.
Mleta mada, no.2 na no.3 ni kitu kile kile nadhani.
-Kaveli-
Nipe namba yake nikuadd kwenye group la wamiliki wa outlander nchi nzima. Wanatoa ushauri kuhusu hilo gari pendwa. Tupo zaid ya 300Hili ndio gari yangu ya kwanza ya mitsubishi kununua.
Kama hizo oil zipo vizuri haziwezi kukuletea tatizo loloteOkay. Nisije sababisha matatizo.
Hili ndio gari yangu ya kwanza ya mitsubishi kununua.
ThanksNdiyo nimekupa knowledge sasa, pokea kwanza. Acha ubishi.
-Kaveli-
Naomba uni dm MkuuNipe namba yake nikuadd kwenye group la wamiliki wa outlander nchi nzima. Wanatoa ushauri kuhusu hilo gari pendwa. Tupo zaid ya 300
Haudhanii bali upo sawa kabisa2. Oil ya gear box.
3. Transmission oil.
Mleta mada, no.2 na no.3 ni kitu kile kile nadhani.
-Kaveli-
ππππ.Hongera kwa kuzingatia services ukishajua oil gani zitumike nenda kwa authorized dealer au vituo vya mafuta kama total oryx na puma nunua oil mwenyewe...mafundi wengine si waaminifu watakuwekea oil ya bei chee na chini ya kiwango ili apige hela
Ubarikiwe. Nimepata elimu hapa.π1. 5W30 Full Synthetic, brand yoyote original. Kiasi Lita 4.5 ukibadirisha na filter.
2. ATF ngumu kushauri kwasababu haujasema transmission yake ni CVT au? CVT nyingi nimeona zinatumia CVTF-J4 ni OEM ya Mitsubishi. Gari zipo selective kwenye CVT fluid kua makini. JATCO wanatengeneza transmission za CVT nzuri ila challenge yao ndio hapo kwenye kuchagua fluid yak...