Msaada: Shamba lipo wazi -Kisarawe

Eduin

Senior Member
Joined
May 15, 2014
Posts
189
Reaction score
136
habari ya leo..

Binafsi ninamiliki shamba dogo maeneo ya Ksarawe kwa DC JOKETI lakini halinisaidii chochote kwani sifugi wala sililimi kutokana na ukame ulioikumba ukanda wa pwani wa Tanzania.

(wengi mnajua) mwezi mmoja umepita nimelima nikisubiri mvua ili nipande lakin wapi, ningefuga lakin sina hela tena ya mtaji huo wala wazo la ufugaji sinalo kwa sasa.

Nishatangaza kuuza lakin hamna mwitikio, nifanye nini sijui. kulitelekeza siwezi.
 
Lipo maeneo gan hapo kisalawe? Na lina nini shamba(mimea iliyopo)? Unauza sh ngap

Sent using Jamii Forums mobile app
lipo upande wa pili wa JWTZ, yaan KM3-4 kutoka kisarawe bodaboda buku tu. halina kitu nmelilima mwezi uliopita labda leo ndo nikapande maana mvua ndo imenyesha. nauza 2M. ni 20*20
 
lipo upande wa pili wa JWTZ, yaan KM3-4 kutoka kisarawe bodaboda buku tu. halina kitu nmelilima mwezi uliopita labda leo ndo nikapande maana mvua ndo imenyesha. nauza 2M. ni 20*20


kweli kabisa 20x20 ni shamba? mh..... bora ungesema kiwanja 🙂🙂
 
Hakuna shamba la ukubwa huo.hicho ni kiwanja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…