habari ya leo..
Binafsi ninamiliki shamba dogo maeneo ya Ksarawe kwa DC JOKETI lakini halinisaidii chochote kwani sifugi wala sililimi kutokana na ukame ulioikumba ukanda wa pwani wa Tanzania.
(wengi mnajua) mwezi mmoja umepita nimelima nikisubiri mvua ili nipande lakin wapi, ningefuga lakin sina hela tena ya mtaji huo wala wazo la ufugaji sinalo kwa sasa.
Nishatangaza kuuza lakin hamna mwitikio, nifanye nini sijui. kulitelekeza siwezi.