MSAADA : Shati kama hili nalipata wap?

MSAADA : Shati kama hili nalipata wap?

Black ma colour

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
733
Reaction score
663
Wadau habari.

Naamini wapo wanaofahamu mapigo haya naweza pata wap shati kama hili.

Natanguliza shukurani

Ts temporary post
Screenshot_20190114-192132.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hshati ni la mzee wake hilo..atakuwa mzee alilichukua paris enzi zile.
 
Hadi sasa sijapata jibu, sijui nifute au niwe na subra, jamani hata wadada mnashindwa nisaidia mawazo labda batiki.. Maana nawaza huenda ni batiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom