Msaada: Shaving cream nzuri ya sehemu za siri

Hebu subiri kwanza hajawahi kunyoa toka ameanza kuota nywele mtumeee anaishije anyway ngoja tusubirie hizo shavin cream

Atakua na msitu wa congo kama sio amazon...tahadhari asikutane na anakonda tu

Anyway mtoa mada kwa nini binti asifanye wax??? Maana inaelekea ni mvivu/mchafu. Wax itachelewesha mivuzzi kuota
 
BADILI TABIA hahahhaha nimejikuta navuta picha japo na umri wake siufahamu atakua na halo gani huko chini???? Hivi kumbe Kuna binadam wa ajabu tokea zimeota hazijashaviwa wallah huyu anafuga Rasta hahahhahha
 
Last edited by a moderator:
Tumia Veet,japo harufu yake siipendi
 
Kama mavuzi ni mafupi unaweza tumia wax.
 
Kama mavuzi ni mafupi unaweza tumia wax.


Mkuu Bavaria umeambiwa hajawah nyoa toka zinaanza kuota atakuwaje na fupi Ana kichaka kilichoshono ukiingia shutu umulike na tochi kujua kama Kuna usalama nahis anafuga Rasta na kama anafuga kwa muda huu zitakua zinabana.
 
Last edited by a moderator:
Tumia Veet,japo harufu yake siipendi

Ynaa veet wameandika kabisa usipake huko kunako Ni za vinyweleo mikononi usimwambie apake veet wakat boksi Tu nje wameandika haitimiki huko hata Nair mayo hivo hivo angejaribu wax ya sukari aone kama hajakojoa kabisa
 
Last edited by a moderator:
We nae veeepee umetokea wapi? Kama roho yangu mbaya ipake rangi ipendeze

Looooh!!!.....nimekutania tu unanibadilikia dear!!hapa mara nyingi watu huwa wanafurahishana kwa kutaniana dear,acha kunipa za uso!!
 
Looooh!!!.....nimekutania tu unanibadilikia dear!!hapa mara nyingi watu huwa wanafurahishana kwa kutaniana dear,acha kunipa za uso!!


Hahahhaha mkuuu hahhaa najaribu kuact serious kama nauweza hahhaa sorry kama nimekukwaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…