Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,625
Wataka pata mengiee@mshana Jr, miss you
Tutakosa mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakosa mengi
Iweke hadharani mkuu niijue
Hebu subiri kwanza hajawahi kunyoa toka ameanza kuota nywele mtumeee anaishije anyway ngoja tusubirie hizo shavin cream
Mwambie aje mie nitamnyoa na mkasi ila hela mbele kaa mfuko wa shati.
Kama mavuzi ni mafupi unaweza tumia wax.
Tumia Veet,japo harufu yake siipendi
Bei gani hyo MKUU ?!
Unataka nini
Acha rohoo mbaya,mpe mwezio hiyo tender!!
We nae veeepee umetokea wapi? Kama roho yangu mbaya ipake rangi ipendeze
Looooh!!!.....nimekutania tu unanibadilikia dear!!hapa mara nyingi watu huwa wanafurahishana kwa kutaniana dear,acha kunipa za uso!!
Hahahhaha mkuuu hahhaa najaribu kuact serious kama nauweza hahhaa sorry kama nimekukwaza
We nae veeepee umetokea wapi? Kama roho yangu mbaya ipake rangi ipendeze