Msaada: Shaving cream nzuri ya sehemu za siri

Msaada: Shaving cream nzuri ya sehemu za siri

Kumbe ni uwanja wa salamu. Hmjambo nyote humu????
 
DURAK KREM is the best..hiyo akipaka anakaa dk 10 anaenda kuoga zinatoka zenyewe

helo mkuu nisaidie hiyo durak krem inauzwaje na je inapatikana maduka ya kawaida au ya madawa?
 
Back
Top Bottom