Msaada: Sheria ya bima ya afya

Msaada: Sheria ya bima ya afya

Mdharuba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
824
Reaction score
519
Wakuu naomba kuuliza sheria ya bima ya afya kwa mfuko wa NHIF inasemaje kwa mwenza zaidi ya mmoja?
Je, unaweza kuandikisha mke zaidi ya mmoja katika mfuko?
Ahsante
 
kwani si ni hela yako tu au kuandikisha mwenza zaidi ya mmoja kivipi!!!

kama ni kampuni unayofanyia kazi wao ndio wanatoa vigezo kama ni familia ya baba mama na mtoto mmoja au zaidi.
 
Nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom