Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani si ni hela yako tu au kuandikisha mwenza zaidi ya mmoja kivipi!!!Wakuu naomba kuuliza sheria ya bima ya afya kwa mfuko wa NHIF inasemaje kwa mwenza zaidi ya mmoja?
Je, unaweza kuandikisha mke zaidi ya mmoja katika mfuko?
Ahsante