Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
habari wadau
ninahitaji msaada wa kisheria,nyumba ninayokaa huwa nalipa kodi 280,000 per month,sasa mwezi huu nimelipa kodi ya miezi saba nikamwomba mwenye nyumba anivumilie hadi mwisho wa mwezi wa pili nimalizie kiasi kilichobaki ila cha kushangaza huyu mama mwenye nyumba anasema ikifika jumamosi asinione kwenye nyumba yake na harudishi pesa yoyote,hivi huyu mama anajitambua?na kinachompa kiburi ndugu yake ni afisa upelelezi pale ostabei polisi kwa hiyo huwa anatumia mgongo wake kunyanyasa wapangaji
sasa mimi nataka kumuonyesha kwamba nchi hii inasheria haiendeshwi kimabavu,naomba kama kuna mwanasheria,au mtaalamu wa sheria za upangaji anisaidie katika hili