Msaada: Sheria za upangaji nyumba

Msaada: Sheria za upangaji nyumba

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,332
habari wadau
ninahitaji msaada wa kisheria,nyumba ninayokaa huwa nalipa kodi 280,000 per month,sasa mwezi huu nimelipa kodi ya miezi saba nikamwomba mwenye nyumba anivumilie hadi mwisho wa mwezi wa pili nimalizie kiasi kilichobaki ila cha kushangaza huyu mama mwenye nyumba anasema ikifika jumamosi asinione kwenye nyumba yake na harudishi pesa yoyote,hivi huyu mama anajitambua?na kinachompa kiburi ndugu yake ni afisa upelelezi pale ostabei polisi kwa hiyo huwa anatumia mgongo wake kunyanyasa wapangaji

sasa mimi nataka kumuonyesha kwamba nchi hii inasheria haiendeshwi kimabavu,naomba kama kuna mwanasheria,au mtaalamu wa sheria za upangaji anisaidie katika hili
 
...hiyo ambayo umemuahidi kumalizia ni ya lini?, na je, kulikuwa na mkataba wowote ambao mmekwisha andikishana?,
 
Ni kodi ya mwaka huu,nimelima ya miezi saba,miezi mitano iliyobaki nimemwambia ntalipa mwishoni mwa mwezi wa pili,nina risiti za bank ambazo nimeingiza hiyo pesa kwenye akaunt yake,mkataba kwa kawaida huwa tunasign baada ya kumaliza kodi,so by now nina risiti za malipo yote
 
...wala asikusumbue, hana "cause of action" ya kukushitaki maana hakuna mahala ambapo umevunja mkataba, anakutisha tu. akienda mahakamani let me know, i will tell u what to do. Nitakupa my contacts and i will assist u. So hamjaandikishiana mkataba wowote?, na je huo ndo utaratibu wenu wa kulipana? Hapo umeishi kwa muda gani?
 
...na pia, kama alikuwa hataki hayo malipo ya instalment asingekubali kupokea hizo fedha, kile kitendo cha yeye kupokea ni kama amekubali hayo malipo impliedly, suala la ndugu yake kuwa afisa wa upelelezi, halimfanyi yeye kuwa mahakama. So hana effect in that case.
 
Hapa nimekaa mwaka mzima,utaratibu ni.kuingiza pesa kwenye akaunt halafu tunasign mkataba naambatanisha na kopi za risiti za bank,sasa nilikua nimemuomba nilipe hiyo ya miezi saba ili inayobaki nimalizie end of month akakubali,cha kushangaza baada ya kuingiza pesa bank ndo analeta nyodo,aliahidi agekuja weekend nimkabidhi nyumba nikamwambia kwama arudishe pesa nitafute nyumba ndo nikabidhi nyumba yake,otherwise nitampeleka mahakamani,baada ya kumwambia hivyo aliingia mitini,hajapiga simu wala hajatokea,in case kitakachojiri ntakujulisha.mkuu,thanks in advance
 
Kwa nini usitumie zile ulizokuwa unapewa na mzungu?

Ndugu yangu zile pesa za mzungu zimevuruga amani ndani ya ndoa,niliamua kumwleza husband ukweli ila baada ya kumweleza ukweli nilijutaaa maana ni.majangaaa,sitaki kuzungumza hapa ola kwa kifupi bado haijapata mwafaka,na mwafaka wake nadhani utakua si mzuri
 
Sheria ya tz inayoregulate upangaji wa nyumba inazuia kulipa kodi kwa mwaka. Kodi inapaswa ilipwe kwa mwezi. Wenye nyumba tunatumia matatizo ya nyumba tz kunyanyasa wapangaji. "the court can not entertain the issue which was illegal right from the begining" just relax my dia.
 
Sheria inasema kama mpamgishaji akikubali malipo hata ya mwezi mmoja basi unaweza kimlipa malipo ya kodi kwa mwezi mwezi maadam alipokea malipo ya mwezi ingawa awali ktk mkataba ulilipa kodi ya mwaka. So stay calm my dear
 
habari wadau
ninahitaji msaada wa kisheria,nyumba ninayokaa huwa nalipa kodi 280,000 per month,sasa mwezi huu nimelipa kodi ya miezi saba nikamwomba mwenye nyumba anivumilie hadi mwisho wa mwezi wa pili nimalizie kiasi kilichobaki ila cha kushangaza huyu mama mwenye nyumba anasema ikifika jumamosi asinione kwenye nyumba yake na harudishi pesa yoyote,hivi huyu mama anajitambua?na kinachompa kiburi ndugu yake ni afisa upelelezi pale ostabei polisi kwa hiyo huwa anatumia mgongo wake kunyanyasa wapangaji

sasa mimi nataka kumuonyesha kwamba nchi hii inasheria haiendeshwi kimabavu,naomba kama kuna mwanasheria,au mtaalamu wa sheria za upangaji anisaidie katika hili

MHESHIMIWA;

Nataka nikushauri kama ifuatavyo

Mahakama haiwezi kusikiliza mkataba unaokiuka sheria kuanzia uundaji wake, na swali la kwanza katika mahakama ni kutaka kujua kama kuna mkataba halali machoni pa sheria kwa kuangalia sheria za kanuni za mikataba inasemaje
1. mkataba huu ni miongoni mwa hile inayotakiwa kuwekwa katika maandishi, mpaka sasa mkataba wenu hauko katika maandishi badala yake ni wa mdomo mpaka muda huu.Kwasababu hiyo moja akienda mahakamani ataambiwa hakuna mkataba na mahakama haiutambui na itambidi arudi meza ya mazungumzo na wewe
2. Haya, ameambiwa kuna mkataba sheria inaruhusu instalment of value na ndicho kilichofanyika katika kesi yako na haruhusiwi kisheria kubadili hata sehemu ndogo mliyokubaliana.
USHAURI,
USIANZE KUKIMBILIA MAHAKAMANI WEWE ,MWACHE AENDE ASHINDWE VIZURI, LETS CONTACT 0769560204 IN ANY NEEDFULL
 
pamoja mkuu
 
ingawa maelezo yako hayajitosherez ila huyo landlord wako tunasema atakuwa "estopped from denied her previous agreement" hata kama mkataba ulitakiwa kulipa fedha yote ya miezi kumi na mbili kitendo cha huyo mama kukubali kupokea fedha pungufu inamaanisha ameridhia na ni kama mmeshatengeneza makubaliano mengine
 
...na pia, kama alikuwa hataki hayo malipo ya instalment asingekubali kupokea hizo fedha, kile kitendo cha yeye kupokea ni kama amekubali hayo malipo impliedly, suala la ndugu yake kuwa afisa wa upelelezi, halimfanyi yeye kuwa mahakama. So hana effect in that case.

kashakubali hayo malipo kweli."IMPLIEDLY".NO ROOM for any repudiation.na yeye ndio atakua ana breach contract yenu.maana nimeona huwa mnamakubaliano kila term na haujayavunja.Assistant Tutor kamaliza yote
 
usirud nyuma fanya kwa ujasili na liwe funzo kwa wengine il uwe mfano
 
nahitaji mwanasheria haraka iwezekanavyo,naomba pls any serious lawyer aniPM

==============================

MHESHIMIWA;

Nataka nikushauri kama ifuatavyo

Mahakama haiwezi kusikiliza mkataba unaokiuka sheria kuanzia uundaji wake, na swali la kwanza katika mahakama ni kutaka kujua kama kuna mkataba halali machoni pa sheria kwa kuangalia sheria za kanuni za mikataba inasemaje
1. mkataba huu ni miongoni mwa hile inayotakiwa kuwekwa katika maandishi, mpaka sasa mkataba wenu hauko katika maandishi badala yake ni wa mdomo mpaka muda huu.Kwasababu hiyo moja akienda mahakamani ataambiwa hakuna mkataba na mahakama haiutambui na itambidi arudi meza ya mazungumzo na wewe
2. Haya, ameambiwa kuna mkataba sheria inaruhusu instalment of value na ndicho kilichofanyika katika kesi yako na haruhusiwi kisheria kubadili hata sehemu ndogo mliyokubaliana.
USHAURI,
USIANZE KUKIMBILIA MAHAKAMANI WEWE ,MWACHE AENDE ASHINDWE VIZURI, LETS CONTACT 0769560204 IN ANY NEEDFULL
 
...ur previous post about legal advice (abt a lease agreement), someone put his contact so that u may communicate him/her....did u tried him/her?
 
Back
Top Bottom