Msaada: Sheria za upangaji nyumba

Habari ndugu. Mimi pia nina tatizo kama hili na mwenye nyumba wangu. Nimependa ambavyo wengi wamenukuu sheria lakini naomba mniambie wapi nitapata hizi sheria? Whether online (website) au any reliable source maana nashindwa kumconvince kwa kutumia maneno tu wanayosema watu.
Ntashukuru sana kwa msaada wako/wenu

 
Mkuu naomba ufunguke kuhusu "cause of Action", kwani kuna ndugu yangu kafukuzwa kazi, na kuna mwanasheria amemwambia kesi yake atashinda kwasababu ya cause of action.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…