Msaada: Sheria za upangaji nyumba

Msaada: Sheria za upangaji nyumba

Habari ndugu. Mimi pia nina tatizo kama hili na mwenye nyumba wangu. Nimependa ambavyo wengi wamenukuu sheria lakini naomba mniambie wapi nitapata hizi sheria? Whether online (website) au any reliable source maana nashindwa kumconvince kwa kutumia maneno tu wanayosema watu.
Ntashukuru sana kwa msaada wako/wenu

MHESHIMIWA;

Nataka nikushauri kama ifuatavyo

Mahakama haiwezi kusikiliza mkataba unaokiuka sheria kuanzia uundaji wake, na swali la kwanza katika mahakama ni kutaka kujua kama kuna mkataba halali machoni pa sheria kwa kuangalia sheria za kanuni za mikataba inasemaje
1. mkataba huu ni miongoni mwa hile inayotakiwa kuwekwa katika maandishi, mpaka sasa mkataba wenu hauko katika maandishi badala yake ni wa mdomo mpaka muda huu.Kwasababu hiyo moja akienda mahakamani ataambiwa hakuna mkataba na mahakama haiutambui na itambidi arudi meza ya mazungumzo na wewe
2. Haya, ameambiwa kuna mkataba sheria inaruhusu instalment of value na ndicho kilichofanyika katika kesi yako na haruhusiwi kisheria kubadili hata sehemu ndogo mliyokubaliana.
USHAURI,
USIANZE KUKIMBILIA MAHAKAMANI WEWE ,MWACHE AENDE ASHINDWE VIZURI, LETS CONTACT 0769560204 IN ANY NEEDFULL
 
...wala asikusumbue, hana "cause of action" ya kukushitaki maana hakuna mahala ambapo umevunja mkataba, anakutisha tu. akienda mahakamani let me know, i will tell u what to do. Nitakupa my contacts and i will assist u. So hamjaandikishiana mkataba wowote?, na je huo ndo utaratibu wenu wa kulipana? Hapo umeishi kwa muda gani?
Mkuu naomba ufunguke kuhusu "cause of Action", kwani kuna ndugu yangu kafukuzwa kazi, na kuna mwanasheria amemwambia kesi yake atashinda kwasababu ya cause of action.
 
Back
Top Bottom