R Rwebo JF-Expert Member Joined Oct 17, 2015 Posts 1,418 Reaction score 1,820 Jun 28, 2023 #1 Wakuu hamjambo? Kijana wangu kamaliza kidato cha nne 2022, ufaulu wake ni C. C. C ktk comb ya CBG. Natafuta shule yenye unafuu wa karo iliyopo hapa Dar au Pwani. Ukinijuza shule na karo yake utakuwa imenisaidia sana. Shukran.
Wakuu hamjambo? Kijana wangu kamaliza kidato cha nne 2022, ufaulu wake ni C. C. C ktk comb ya CBG. Natafuta shule yenye unafuu wa karo iliyopo hapa Dar au Pwani. Ukinijuza shule na karo yake utakuwa imenisaidia sana. Shukran.