Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Kwa mwanafunzi wa jinsia gani? Ukitaka shule nzur zaidi hasa kwa watoto wa kike zipo Mwanga kwa Same labda Kandoto kama ni mtoto wa kike au Mather Tereza
Joy land na kandoto girls zko vzur mkuu
Habarini wakuu. Naomba mnijuze shule nzuri za sekondari za binafsi ngazi ya o level zilizopo wilayani Same. Shukrani.
Joy land na kandoto girls zko vzur mkuu
chome sec au suji sec kiuchumi siyo mbaya
Wachana na sijui Joy land..
Peleka mwanao Kandoto Science Girls Sec School..
Kuna nyingine mpya ya Mapadre kutoka India...
Ada zikoje mkuu....
Chome Suji na Parane zinafanya vzr?
Tuambie wakike au
Chome Suji na Parane zinafanya vzr?
Mpeleke kandoto science mara mwisho nacheck hio xul ilikuwa ya 12 kitaifa matokeo ya pale nimefika pale shuleni mazingira ni mazuri hata malezi ni mazuri kwa mwanao tumefanya nao.mitihani same wako pouwa sana na ada c chn ya milion 2 wanakula.vizuri kila kitu kizuriii ipo njiani kama unaenda dar ukitoka same stand iko pouwa sana