Msaada, Shule nzuri za binafsi wilayani Same

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Habarini wakuu. Naomba mnijuze shule nzuri za sekondari za binafsi ngazi ya o level zilizopo wilayani Same. Shukrani.
 
Kwa mwanafunzi wa jinsia gani? Ukitaka shule nzur zaidi hasa kwa watoto wa kike zipo Mwanga kwa Same labda Kandoto kama ni mtoto wa kike au Mather Tereza
 
Wakike
 
Wachana na sijui Joy land..

Peleka mwanao Kandoto Science Girls Sec School..
Kuna nyingine mpya ya Mapadre kutoka India...
 
Tusiandikie mate angali wino upo...Matokeo ya juzi

KANDOTO SAYANSI GIRLS SECONDARY SCHOOL

DISTINCTION = 43 MERIT = 54 CREDIT = 3 PASS = 0 FAIL = 0
 
S0419 chome secondary school 2014

distinction = 1 merit = 8 credit = 12 pass = 53 fail = 25
 
Mpeleke kandoto science mara mwisho nacheck hio xul ilikuwa ya 12 kitaifa matokeo ya pale nimefika pale shuleni mazingira ni mazuri hata malezi ni mazuri kwa mwanao tumefanya nao.mitihani same wako pouwa sana na ada c chn ya milion 2 wanakula.vizuri kila kitu kizuriii ipo njiani kama unaenda dar ukitoka same stand iko pouwa sana
 
Mwulize mwanaye ana kichwa?maana huenda wasimpokee.
 
Back
Top Bottom