Msaada - Shule nzuri za private (HGE)

Msaada - Shule nzuri za private (HGE)

Mnyankole

Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
23
Reaction score
5
Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu shule nzuri za private kwenye combination ya HGE. Mdogo wangu kachaguliwa government lakini nataka aende private high school.
 
Shule ya Swilla high school ya mkoani Mbeya, ada ni milion 1 na nusu, maadi mazuri ya kiroho na ipo vizur kwny perfomance na kwa uhakika zaidi google matokeo yake ya Alevel miaka yote ushuhudie div 1 na 2 za kufa mtu.
 
Mpeleke huyo dogo pale loyola.hutajutia kutoa ada yako.
 
Aise kama ni wakike mpeleke mbeya secondar itasaidia hata chuo ka wana angalia kgezo cha shule either ka n private or gov nakushaur mpelen mby sec or sangu iko mby
 
Back
Top Bottom