Msaada: Shule ya A-level inayofundisha PGM kwa wasichana

Msaada: Shule ya A-level inayofundisha PGM kwa wasichana

Hebu kaa na mwanao umshaur kma mzazi PGM then aje awe nani nchi hii kwa ushaur mwambie apige PCB

PGM anakua chochote kasoro daktari . Nimesoma PGM
 
Pgm Ni Nzuri Na Rahisi Kuliko Pcm.Pia Hata Gharama Za Tution Ni Kwa Phyisics Na Hesabu Kidogo.
Nakushauri Mpeleke Meta Sec Mbeya
 
Back
Top Bottom