Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
wadau na dogo amefaulu comb CBG naombeni ushauri shule zip za serikali nzuri na je private
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nimemaliza kitambo kidogo....sisi tulikuwa tunachagua kombi na shule kabla ya mtihani sasa hivi sijui kuna utaratibu gani na kipindi chetu kibaha haikuwa na cbg naona kuna mdau hapo kai_suggest...mimi nilisoma Tosamaganga kulikuwa hakuna walimu ila kulikuwa kuna mazingira mazuri ya kujisomea...nilipata division one kwa juhudi binafsi...nakumbka zilikuwa divison one tano mwaka huo baada ya one za cbg kuadimika kwa miaka kadhaa na nadhani ndio zilikuwa za mwisho...nikaenda wildlife udsm soon nikapata skolashipu kwa watu...niko ghaibuni napiga udaktari......mwambie dogo hiyo kombi hamna kulala.......pia kuna tambaza nayo ina hiyo kombi kama mambo hayajabadilika