Msaada shule ya private A-Level yenye combination ya CBM

BOB OS

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
3,440
Reaction score
6,881
Wana JF
natafuta shule ya private kidato cha tano, inayofundisha hii tahasusi mpya ya CBM.Ada yake isiwe ghali sana, kuna kijana wangu nataka nimpeleke na yeye anataka kusoma hiyo tahasusi.
 
mkuu mazingira ya hiyo shule ni mazuri?
vipi kuhusu ada,waweza nipatia contacts zao.

mkuu mazingira pale ni mazuri tu,ada sina uhakika ila nadhani haizidi 1million kwa bweni.
wanafunzi ni wengi sana na walimu pia.tena ipo maeneo mazuri tu mjini ila kuna utulivu.
 
mkuu mazingira pale ni mazuri tu,ada sina uhakika ila nadhani haizidi 1million kwa bweni.
wanafunzi ni wengi sana na walimu pia.tena ipo maeneo mazuri tu mjini ila kuna utulivu.

asante mkuu nitaitafuta.
 
Ndo mana hii nchi kuendelea ni ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…