daby mouser
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 206
- 73
Hiv hii shule kimazingira ya kiufundishaj kuanzia uwepo wa waalim,na nyenzo zingine za uundishaj ziko vip??na vip kuhusu mazingira yana ushawish?na maisha ya pale kwa ujumla?nimechaguliwa hapo A LEVEL PCB naomben ushauri wenu!!ila bado sijareport nishatuma excuse na wameikubali!
Sasa wewe dogo unachokitaka nini? Kibaha matokeo yake huyajui? Hata kama hakuna walimu ila ushirikiano walio nao wanafunzi unatosheleza kabisa kwa mwanafunzi kufanya vizuri. Kwa ufupi ukipata div iv basi utajulikana shule nzima maana unaweza kuwa peke yako.
Kwa kumalizia nakupa ongera kwa kuchaguliwa kidato cha tano ila safari ndio inaanza juu ya mustakabari wa maisha yako ya elimu ya juu (university). Hapo ndio pakusomea boom (loan), course ya ukweli na kadhalika.
Mpumbavu sana wewe kiduku gen.
Sasa unauliza mazingira wakati umeshakataa kwenda hiyo shule? Nimesoma pale miaka minne, ila kwa upuuzi huu siwezi kupoteza muda kukuelezea mazingira. Mwaka 2014 ukishafeli kwenye hiyo private schule unayotaka kwenda ndo unitafute nikuambie ulikokosea...
mitoto mingine bana. Dah!
Kijana wangu, mm nimemaliza A level (CBA, kabla ya kuleta hiyo PCB) hapo na nilipata Div. I, hakika sijaona shule yenye mazingira mazuri ya kusoma kama hiyo, tatizo lenu vijana mnapenda sana kuchagua shule, tatizo sio shule bali ni mwanafunzi mwenyewe. Anyway, kwa ushauri zaidi Rejea pia post ya Sangito.Hiv hii shule kimazingira ya kiufundishaj kuanzia uwepo wa waalim,na nyenzo zingine za ufundishaj ziko vip??na vip kuhusu mazingira yana ushawish?na maisha ya pale kwa ujumla?nimechaguliwa hapo A LEVEL PCB naomben ushauri wenu!!ila bado sijareport coz of sam matatizo hiv ambayo bado napambana nayo nimeshatuma EXCUSE na wamekubali kunipa mda kidogo wa kureport!
ANGALIZO:KAMA HUNA CHCHOTE CHA KUCHANGIA BETTER UIACHE HII THREAD KAMA ILIVYO USTAARAB WA KUELIMISHAMANA PLUS MATURITY NDO NYENZO MUHIM ZINAZOHITAJIKA KWENYE HII THREAD!
songíto;3713276 said:ndugu yangu, katika moja ya shule bora tanzania hapa huwezi kuiweka kibaha pembeni hata, nimemaliza pcm pale 2002, na intake yetu tulikuwa watatu kitaifa kimatokeo.... Ingawa inaitwa/ilikuwa inaitwa special school lakini naomba nikuonye kuwa uspeciality pale si kutafuniwa kila kitu.... Unahitaji muda mwingi wa kujisomea na hasa kinachowafanya watu wafaulu ni kuwa kuna ushindaji mkubwa sana kati yao, watu wanashindana na wana ile hali sikubali fulani anipite...kuna wakati hawalali, wanasoma 24/7... So wakati mwingine uspecial si kwamba unajua saanaaa au una kipaji kikubwaaa inapokuja kwenye hizi special school..
Sijajua enzi hizi ila enzi za mwampaja..wakuu watakumbuka kuwa ilikuwa full kuku, yani ilikuwa raha tu..msosi ulikuwa mzuri usipime, nimesoma o-level tabora boys, ila chakula kibaha ilikuwa juu mara dufu..walimu wapo na wanajitahidi, ila si kwamba watakufundisha kama unaanza chekeckea no... Wanakutengenezea njia na itabidi usome kujiendeleza!! Mitihani internal ni migumu balaa utasema afadhali necta... But inakufanya mtu ujione hujui na uongeze juhudi... But at last tulimaliza shule vizuri sana na tulikuwa na division one karibu 70, na three zilikuwa mbili au tatu tu, tena mbili za penalty kama sikosei
so please nenda maana mnakutana mafahali wengi, na unajua mafahali ni ushindani na kwa ushindani unajitengenezea njia ya kufaulu vzr... Kama hutaki nenda kale mayai st. Marys
Hizi fake ID's zetu zinaficha mengi sana aisee,Kumbe JF wamejaa watoto wengi sana eeenh??Hebu nenda kasome wewe dogo acha mbwembwe!!
Katika shule za serikali zenye mazingra mazur ya kupigia msuli,kibaha inaongoza,pia wanapga msoc mzuri tofaut na lishule kama pugu,so we dogo nakushaur uende pale,ila kumbuka ukienda pale kula na kufanya anasa,lazma mama ndalichako akule kichwa hyo 2014,ila ukienda kupga shule bac tunategemea utakua tanzania one hyo 2014.over
Nisalimie wakazi wa Skandia na Kibo. Enzi zangu hapo ni 1972-73. Palikuwa first class. Kijiji cha mfano (model village) chini ya Waskandinavia. Unashangaa? Ulikuwa hujazaliwa?
Sasa wewe dogo unachokitaka nini? Kibaha matokeo yake huyajui? Hata kama hakuna walimu ila ushirikiano walio nao wanafunzi unatosheleza kabisa kwa mwanafunzi kufanya vizuri. Kwa ufupi ukipata div iv basi utajulikana shule nzima maana unaweza kuwa peke yako.
Kwa kumalizia nakupa ongera kwa kuchaguliwa kidato cha tano ila safari ndio inaanza juu ya mustakabari wa maisha yako ya elimu ya juu (university). Hapo ndio pakusomea boom (loan), course ya ukweli na kadhalika.