Dogo Kibaha haimtupi mja wake.
Tulikuwepo pale hadi 2009 A level,nenda ukasome then ukimaliza uje chuo tusome ,sawa!
Mshukuru MUNGU kwa kuchaguliwa katika shule nzuri kama ile! Pale ukifeli ni bahati mbaya au ulipenda. Mazingira ni mazuri mno!
Ukifika kamsalimie Kashinde na ukae bweni la Skandia kwani ni karibu na facilities zote!
Hongera mdogo wangu
Wakati wa enzi zetu hapo, kulikuwa na paper kila jumatatu alafu matokeo yanawekwa hadharani kwenye ubao uliondani ya kioo kilichofunikwa na nyavu za chuma. Mtu wa kwanza alikuwa anaanza na 35, watu walikuwa wanataga kila kukicha lakini mwisho wa yote darasa zima tulipata Division One. Nakushauri KB ni pazuri kimazingira, kimasomo, kijamii, kimichezo, wakati wetu tulikuwa tunakula kuku na mayai yake mpaka. Ni shule ambayo inakufanya uwe mwenye kujiamini na kujitegemea, kama ni mwanafunzi uliyezoea spoon feeds usiende.
sasa wew dhihaki ya nini jiheshim bas!,nimekuomba ushaur hayo mengine ya sijui mpumbavu yametoka wapi,mbona ukuaji wako hautumii vilivyo?,ningekuona mstaarab sana kama usingechangia chochote na kupita ukaenda zako!MARA NYINGINE JARIB KUTUMIA HATA AKILI YA KUZALIWA KAMA YA DARASAN HAIKUSAIDII!hadhi y kusema kama umesoma kibaha huitendei haki kabisa!huna SONI YA USTAARAB!then hizo mambo za sijui shule ya private sijui umezitoa wapi,hivi umeisoma status niliyo update hapo juu??UFAHAM ni kitu tunacho fundishwa kabla hatujaanza kusoma lugha yoyote ili kupima uelewa(uchanganuo) wetu wa kitu tunachosoma,ningekushauri urudi hapo juu,then ndo uanze kuflow shits zako!!Angalizo tu!
Maktaba ya mkoa ipo hapo chuo kikuu huria kipo hapo shule ya sekondari tumbi ipo hapo chuo cha uganga kipo hapo fdc kipo hapo hospital ya tumbi ipo hapo shule ya secondari kibaha wasichana ipo hapo shule ya msingi tumbi ipo hapo shamba la ngombe na kuku. Sema unataka nini sasa
It was a gud school.idnt know right now.but i hope it is still a good school. Pangani was my dormitory while am in a-level.neverthless i encourage you to be serious in your studies and avoid being proud.deliberetly speaking,it is a comforting place for study.
Upunguze tu safari za Mwanalugali... Once a week should be ok.
iyo ili kuwa long xana tym iz inatexa nyanza & pangani..Nisalimie wakazi wa Skandia na Kibo. Enzi zangu hapo ni 1972-73. Palikuwa first class. Kijiji cha mfano (model village) chini ya Waskandinavia. Unashangaa? Ulikuwa hujazaliwa?
kashide, uyu jamaa noma alituendesha xana. ts gud ukikaa naye mbal especially kama we n mpenz wa soka, ukitimba 2 vbandan kesho anakuchomoa parade bt xjui kama utamkuta yupo udsm nw anapga kitabu ....my advice j2pie bwen la nyanza, skandia ilikuwa enz za kikwete nw limebak historia....karbu kwenye community ya kssshukran sana kaka dah hilo bwen la skandia itabid nifight niweke kambi hapo!Nakushukuru sana kwa kunip muongozo,nd abut kashinde ntamfikishia salam zako mjomba!;-)