Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

Ukiamua kuoa,usimfanye mkeo awe kama mtumwa kwako, muache akimisi kutoka nje atoke,ila akulindie heshima.Ndoa nyingi zina matatizo,ila hayaanikwi wazi.Oa tu na ukubaliane na yote yaliyomo.
 
Hili ndo tatizo la jamii kuondoa mambo ya jando.

Kule moja ya somo tulikuwa tunafundishwa ni kwamba tunaoa kwa ajili ya kupata watoto, kuendeleza kizazi chako, kumbuka mwenye kubeba kizazi ni wewe.

Kingine ni kwamba mwanamke si ndugu yako, muda wowote mnaweza mkaachana, ila watoto ni ngumu kuwaacha, hata aondoke nao still hao ni wanao tu, they bear your name.

Sasa wanaume wa kizazi cha sasa mmekuwa soft soft, mnateseka na mapenzi, mnateseka na vitu vya kijinga. Mwanaume wewe ni free soul hata kama umeoa, kwanza kwenye unyago wanawake walikuwa wanaambiwa kabisa "MWANAUME HASHIBAGI MWANAMKE MMOJA".

Mwanaume unapaswa kuwa BANDIDU, usicheke na kima yeyote.

Sasa wewe endelea na ujinga wako wa kizungu hapo, utakufa kwa kihoro , utakufa vibaya wewe?
 
Mkuu tia mimba demu wako mzae watoto, lakini hakikisha anajua kuwa akizingua ukajua ndo mwisho. Weka misimamo yako wazi ya maisha aifahamu
 
Yeap ndio nilifanya chap ila akili inanisaliti kubabake
Ukiamua kuoa,usimfanye mkeo awe kama mtumwa kwako, muache akimisi kutoka nje atoke,ila akulindie heshima.Ndoa nyingi zina matatizo,ila hayaanikwi wazi.Oa tu na ukubaliane na yote yaliyomo.
Mjomba unataka kusema wewe mkeo akitoa nje kupigwa pasi unaliacha suala hilo kisa ndoa? Mkuu au sijakuelewa?
Ulisimp Sana kwa Yule demu wa kwanza.
Watu kama haoa ukimkuta anakucheat unapiga chini mara moja
 
Ushauri wangu piga punyeto tu achana na mademu........(utani)😀😀😀
 
Chill kwanza usikumbilie kuoa, huyu uliyenaye usimfanye replacement ya aliyetoka
 
Yeap ndio nilifanya chap ila akili inanisaliti kubabake

Mjomba unataka kusema wewe mkeo akitoa nje kupigwa pasi unaliacha suala hilo kisa ndoa? Mkuu au sijakuelewa?
Mimi binafsi usiniulize hilo swali,ni gumu sana kulijibu,ila jua kwenye ndoa kunakuchitiana sana na baadhi ya watu wanakuta uthibitisho kama wewe,baadhi yao wanavumilia.Simu yako na simu ya huyo mkeo,inaonyesha uhalisia kwa asilimia 75 wa nini unakifanya au anakifanyaga.
 
Ukiamua kuoa,usimfanye mkeo awe kama mtumwa kwako, muache akimisi kutoka nje atoke,ila akulindie heshima.Ndoa nyingi zina matatizo,ila hayaanikwi wazi.Oa tu na ukubaliane na yote yaliyomo.
Sasa si bora usioe tu. Yaani wewe unamlisha, unamvesha, jamii nzima inaamini ni mkeo ila akijisikia kukipeleka akipeleke tu.
 
Ukiamua kuoa,usimfanye mkeo awe kama mtumwa kwako, muache akimisi kutoka nje atoke,ila akulindie heshima.Ndoa nyingi zina matatizo,ila hayaanikwi wazi.Oa tu na ukubaliane na yote yaliyomo.
Huo ndio upumbavu.
 
Yeap ndio nilifanya chap ila akili inanisaliti kubabake
Ukiamua kuoa,usimfanye mkeo awe kama mtumwa kwako, muache akimisi kutoka nje atoke,ila akulindie heshima.Ndoa nyingi zina matatizo,ila hayaanikwi wazi.Oa tu na ukubaliane na yote yaliyomo.
Mjomba unataka kusema wewe mkeo akitoa nje huna
Ulisimp Sana kwa Yule demu wa kwanza.
Watu kama haoa ukimkuta anakucheat unapiga chini mara moja
Hakika
Hakika mjomba nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…