Another useless ginger head simpVitobo vya sasa ni ngumu kuliwa na mboo moja tu
Ukiikubali hii formula mbona utaoa vizuri tu na utaishi na wanawake kwa amani
Hivi viumbe havijali kabisa hisia za mwanaumeHapo ndio ulifikia ukomo wa yeye kuwa simp,
Mwanamke alikuwa anamuona jamaa ni simp na ndio maana akamcheat..!
Na hapo huwa wanaomba msamaha si kwa kujutia walichokitrnda ..
Ila wanalia sababu ujinga wao umegundulika
They don’t regret shxt
Ndio tulipofika mjomba, kwasasa ndoa ni project ya mavuno kwa walionacho na sio upendo halisiDunia uwanja wa fujo ,watu kwa sasa hawana hofu na ndoa kabisa .. Miaka binti akiolewa anapeewa heshima wala hauwezi kumkuta akitaniana na wanaume...
Miaka hii ndoa hazina uzito ,mpaka ma-ex wanahudhuria na kuchangia mchango wa harusi na mambo yao yanaendelea kama kawaida.
Nipo makini sana najitahidi kutoweka nafasi kwma mwanzo....Na ukikurupuka tena likutokee puani
Kuwa makini kabla ya kusaini mkataba wa maisha###
Ndoa labda uoe binti mshamba zaidi ya hapo ni kubet ...Binti ushike sana ,sio hawa wanazunguka sana mjini.Ndio tulipofika mjomba, kwasasa ndoa ni project ya mavuno kwa walionacho na sio upendo halisi
Umeona eehAnother useless ginger head simp
Achana na mahusiano kwasasa bado haujapona hope muda ,kwasababu muda ni riba utapona na utahitaji tena mahusiano .Mkuu ninateseka na suala la mara ya kwanza maana limenitoa upepo kwa hivi viumbe najikuta sitaki tena, kuna muda nakuw royal ila kuna muda niliwaza tu yaliyopita najikuta nakuwa katili tu
Mkuu tushaongea sana humu kuwa kila mtu hawezi kula kila siku wali na maharage.
Na hormone za mwili kuna age zikifika zinapunguza kasi basi pale ndy hadi malaya ataona hakun haja ya kupata hofu. Ndy anakuwa mtoa ushauri.
True, never forgive a bitchHapo ndio ulifikia ukomo wa yeye kuwa simp,
Mwanamke alikuwa anamuona jamaa ni simp na ndio maana akamcheat..!
Na hapo huwa wanaomba msamaha si kwa kujutia walichokitrnda ..
Ila wanalia sababu ujinga wao umegundulika
They don’t regret shxt
Duh hii comment yako inajeruhi wengi
Umeniwahi mkuuKumbe kina Simp mpo huku 😁
Mkuu hakikisha mwanamke anakupenda kiukweli ukweli kabla hujamuoa.Ukoo wake wote naujua vyema na zaidi ya vyema sasa kwanini nisioe ninapopajua kuliko kufakamia sehemu mpya?
Mimi kwa experience yangu naona kama hakuna mwaminifu, ila viwango vinatofautiana. Hapa kwenye kucheat nawainclude ambao wao hawacheat kwa kufanya mapenzi, ila wanakua na watu ambao wanawaita wachangamsha simu. Yaani wewe ukiwa busy, mwingine anatake over, kuongea nae ujinga ujinga, kutaniana, kutumiana picha lakini kufanya hakuna. Hao wapo na nina mifano hai.Hapo unamaanisha uaminifu wake naweza muacha na kumkanya ajifunze? Wanaosema ni kumuacha aendelee ma maisha yake ni sahihi? Kipi bora kurekebisha makosa ama kuachana naye mazima kama nilivyofanya?