Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

Nchi ina vijana wa kiume dhaifu mnoo
Kwa mwendo huu women will run this country
 
Kataa ndoa,
Chapa ilale.
 
Kuna watakaokuja na kukuponda kuwa hakukuwa na haja ya kutaja iPhone na unamiliki gari lenye AC

By the way kama mwanamke umemkuta sio bikira huyo ni malaya

Ni mwanaume mjinga na mpumbavu tu ndiye ambaye anamwamini malaya na kuinvest kwa malaya

Your dick inside her wasn't the first one, and it won't be the last
 
Mwambie kwa kumkazia macho na ukimaanisha kuwa siku ukigundua amekusaliti maamuzi yatakuwa ni kuachana pasipo kujali idadi ya watoto, umri wa mahusiano au umri wenu.
Usifunge nae ndoa iwe mahakamani, msikitini hadi muishi miaka 20 kwanza mkiona mnaendana mtaenda kufunga ndoa isipokuwa kamlipie mahari
 

Ushauri toka kwa Kaka yako aliyepitia haya mambo, just assume huyu wa 2 naye Malaya, ukifanikiwa, then muoe tu, akileta umalaya si kazi kumwacha, shida ni kuamini ni wakowemyewe, tutakuzika
 
I got you bro...but why nisikague simu yake kuangalia vitu anavyofanya? Kwanini
Ili usimpoteze. Kama unaona anakupenda usitafute sababu ya kuachana nae kaka.
Mimi nilikua nae anaelia na kunena kwa lugha madhabahuni. Anaamka usiku saa tisa kusali kila siku, mpaka nikawa nahisi mimi ndie nnae mkwamisha safari ya kuiona mbingu😁😁. Nikitaka kucheat nilikua nahisi ananiona kabisa... Aisee kumbe mimi ndo nilikua mlokole
 
Hahahahaha kweli kaka pole na hili naliweka akilini....nitajifunza hapo nakuwaga mgumu sana
 
Ushauri toka kwa Kaka yako aliyepitia haya mambo, just assume huyu wa 2 naye Malaya, ukifanikiwa, then muoe tu, akileta umalaya si kazi kumwacha, shida ni kuamini ni wakowemyewe, tutakuzika
Niombee sana hili nalo litapita, au nilipaswa kuendelea na yule wa kwanza? Ikiwa sio wa pekee yangu basi sikupaswa kumuacha yule na alikuwa ananipenda sana
 
Hii nimeiona sehemu mingi sana watu wakiifanya..mtu anakula chuma 3 then ndoa ni baada ya miaka 10 huko.
 
I understand that bro...I appreciate n I leaned my head down sincerely...
 
Was mentioning IPhone na kuendesha gari yenye AC kali necessary?
 
Badala ya kumshukuru Mungu umejua uliyopaswa kuyajua kabla hujaangamia wewe unaumia nini sasa?. Tenga muda wa kipekee mshukuru Mungu,na huu ndio utakuwa mwanzo wako mpya!
 
Wapo wanawake wachache sana wa kuwaamini Iła ukweli ni kwamba kwa sasa wanawake si wa kuwachukulia serious kihivyo kwani wanaliwa sana huku nje. Wewe jaribu tu kutongoza mwanamke hata kama ni mke wa mtu utasiikia niko kwenye ndoa ila mtu wangu haeleweki, unasemaje kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…