Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

Siku izi kukuta mtu ana mpenzi mmoja ni nadra sana, wake za watu kuliwa Siku izi rahisi kama kumsukuma mlevi
Haswa hawa wabunge wa kike, wengi wanachaguliwa kenda kupoza wenzao wakati wa vikao vya usiku wa manane. Never ever date mbunge wa kike, si watu sahihi kwenye mahusiano na kama uko naye kwa sasa, pima afya yako mara kwa mara.
 
Unachekesha Una Miaka Mingapi mkuu. Acha Upuuzi Tafuta Mnyonge wako na wewe Ukajipigie Usuuze Urijali Hakuna Mwanamke Wa Peke Yako Dunia Hii
 
Hakuna mwanamke ASIYEWEKA double chance kwenye betting yake na hasa hawa walio ahidiwa kuolewa,atakaye kuwa na mipango mizuri kwake ama atakaye wahi kukamilisha mipango ndiye mwenye chance kubwa.
 
Niombee sana hili nalo litapita, au nilipaswa kuendelea na yule wa kwanza? Ikiwa sio wa pekee yangu basi sikupaswa kumuacha yule na alikuwa ananipenda sana

Hapana, hata wa kwanza ni sawa kumuacha kabisa, ni mambo magumu ila yanapita,
 
Your dick inside her isn't the first and won't be the last, especially kama hukumkuta bikra.
 
"Wajomba nilikuwa naendesha gari na AC kali sana ila nilijisi joto moja la hatari sana nikapaki pembeni kufikiria cha kufanya"

Ulikua unadrive huku unaperuzi dereva au sio......

Matendo ni mawili tu kuoa au kuolewa mengine utachagua mwenyewe
Anatuona mabwabwa wenzie sie!
 
Pole mkuu, ila wanawake - kwa kweli Mungu wao ni mwingine kabisa.
 
Haswa hawa wabunge wa kike, wengi wanachaguliwa kenda kupoza wenzao wakati wa vikao vya usiku wa manane. Never ever date mbunge wa kike, si watu sahihi kwenye mahusiano na kama uko naye kwa sasa, pima afya yako mara kwa mara.
Halafu unakuja kukuta mtu ana akili timamu eti anajichanganya na kuoa mbunge wa viti maalum au mbunge tu kiujumla. Watu wana roho ngumu kwa kweli.
 
Pole mkuu kwa janga hili la taifa kwani kwa sasa kupata mwanamke mwaminifu ni ziro kabisa.
 
IN CAPITAL LETTER"KATAA NDOA"
 
Kwa Herufi kubwa " KATAA NDOA""
 
Sasa mke wako huyo mmoja kitombwile kipumpunu hadi wanagawana na shogile wake ndo uunganishe wake wa wenzio woote?

Na kutokana na hilo ndio hapo utakapoanza kumsumbua huyo ulienae kwa wivu wa kijinga, kumchunga kusikoisha, kumkagua kwa *******, kama unamtafuta malaika,, wanaume mliopigwa na matukio mnakuwaga na kihoro muda wote mnadhani ke yupo kwenye kutiwa tiwa tu, mwisho wa siku huyo nae sio malaika unamkera anakuchoka anaenda kulisakua hogo ili afanye kweli,,, hautaacha kulia lia mpk kaburini
 
Po
pole sana wakati mwingine huwa najiuliza wanahitaji nn hawa viumbe halafu utakuta mdada yupo kwenye mahusiano akiombwa no anatoa tu kirahisi hivi unatoaje no yako kwa mtu ambae huna inshu nae yoyote huo c umalaya
 
Changamoto inakuja pale ambapo zaman magonjwa hayakuwepo kama sasa hiv..kwa hiyo jando ilikuwa ina nguvu...huwez niambia nizingatie jando kwamba mwanamke akichepukq nikaushe tu mwsho wa siku aniletee magonjwa na watot wasio wangu
 
Ulijuaje kwamba ww ndio ulikua mlokole ulimpekua?
 
Hapana hii story ni ya muda sana ila inanisumbuaga tu nikiwaza....family friend kwasasa ni muda ninaye ila nilifikiria tu baishiwa power
Kwenye ule uzi ulimwagia maua kama yote kumbe una lako kumoyo.

Enewe kataa ndoa wanazidi kujikita kileleni kwa tofauti ya alama nyingi mno
 
Uliona red flags ukazipotezea so nawe una sehemu ya kujilaumu as mapenzi yalikupofusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…