Msaada: "Sign in network" inanikera

Msaada: "Sign in network" inanikera

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
967
Reaction score
668
Wadau wa JF tech habarini za asubuhi, bila kupoteza muda na kwa ufupi naomba kuaddress swala langu, e bhana ee kila nikiwasha data kwenye simu yangu inakuja hii notification "sign in to network" inanikera sana, nimejaribu kwenda ku-mute notification kwenye android system lakini naambiwa kwa hiyo ishu haiwezekani. Hiki kinotification kinanisumbua kwa kweli and am totally mad for it right now. Naombeni msaada wenu jamani.
 
Dili hilo mkuu, kwa voda vifurushi vinavyopatikana kupitia hiyo link ni vizuri na huwezi kuvipata kwenye menu yoyote.
 
Dili hilo mkuu, kwa voda vifurushi vinavyopatikana kupitia hiyo link ni vizuri na huwezi kuvipata kwenye menu yoyote.
Dah kumbe! Ila ile portal ya vodacom inafikika hata kwa njia ya kawaida tu.
 
Unaweza onesha kama hivi 👇🏿
 

Attachments

  • Screenshot_20201205-192458.png
    Screenshot_20201205-192458.png
    124.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom