Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Wadau wa JF tech habarini za asubuhi, bila kupoteza muda na kwa ufupi naomba kuaddress swala langu, e bhana ee kila nikiwasha data kwenye simu yangu inakuja hii notification "sign in to network" inanikera sana, nimejaribu kwenda ku-mute notification kwenye android system lakini naambiwa kwa hiyo ishu haiwezekani. Hiki kinotification kinanisumbua kwa kweli and am totally mad for it right now. Naombeni msaada wenu jamani.