Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Okay, lakini inanilazimu niwashe kwasababu natumia freebasics, ndio shida iko hapoTatzo unawasha data wakati bando limeisha. Hasa samsung ndio zipo hivyo
Anyways, sasa naiondoaje hiyo notification?Tatzo unawasha data wakati bando limeisha. Hasa samsung ndio zipo hivyo
Ipotezee tu jifanye kama huioni utaishi kwa amani.Anyways, sasa naiondoaje hiyo notification?
Mhhh! Kuipotezea? Siipend kinoma.Ipotezee tu jifanye kama huioni utaishi kwa amani.
Kama una tigo tumia hiyo haileti notification yoyote.
Huwezi itoa kma huna bundle. Imewekwa specifically kunitofy kwa line yako haina full access to internetOkay, lakini inanilazimu niwashe kwasababu natumia freebasics, ndio shida iko hapo
Ikitokea ibonyeze then bonyeza vile vidot vitatu kule juu alaf uchague "Use network as is"Mhhh! Kuipotezea? Siipend kinoma.
Ok it solved, ila nikiwasha data na kuzima tena si itarud ama?Ikitokea ibonyeze then bonyeza vile vidot vitatu kule juu alaf uchague "Use network as is"
Ndio itarudiOk it solved, ila nikiwasha data na kuzima tena si itarud ama?
Na hii inaonekana nikiwa na bundle hailet kabisa, hicho ndio kitu nilikuwa sikijui.Ikitokea ibonyeze then bonyeza vile vidot vitatu kule juu alaf uchague "Use network as is"
Dah kumbe! Ila ile portal ya vodacom inafikika hata kwa njia ya kawaida tu.Dili hilo mkuu, kwa voda vifurushi vinavyopatikana kupitia hiyo link ni vizuri na huwezi kuvipata kwenye menu yoyote.
Una link ya hyo portal? Sijaipataga etiDah kumbe! Ila ile portal ya vodacom inafikika hata kwa njia ya kawaida tu.
Simple sana: vodacom.comUna link ya hyo portal? Sijaipataga eti