malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Habari wakuu mim ni baba wa watoto wawili, huyu mototo wangu waukiume Umri miaka 8 sasa, wakat akiwa na Umri wa miaka4 mkilala ukiamka ukienda kuamasha akokojoe usiku ama akiamka asubuhi uume ulikuwa unamuona umesimama.
Sasa imepita miaka hasimamishi asubuhi hata ukienda kumuamsha akojoe au kumuamsha tu gafla huoni dalili zozote akati hapo awali ana miezi hadi miaka 4 alikuwa asubuhi tu anasimamisha au hata akiwa usingizini ukimuamsha unaona kasimamisha.
Wakuu nauliza hii ni hali ya kawaida kweli? Msaada wenu wa mawazo.