Msaada: Sijaona uume wa mtoto wangu (8) ukisimama asubuhi kwa zaidi ya miaka 3, ni hali ya kawaida au atakuwa na tatizo?

Hacha hofu wewe,dogo mzima huyo, mtoto hawezi kuwa hanithi bila sababu yoyote.hajawahi umwa,hafanyiwi michezo mibaya,shida yako umejijengea hofu tu.usije ukamshirikisha hofu yako.
 
Dah! Jaman yupo wapi hoyo Mtoto njimtunuku tuone km atadisa au lah🙈
 
Wandugu na First born wangu ana 7 month ila nywele zina ota kati kati kama kiduku,,hili ni tatizo au ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…