Msaada: Sijapata hedhi toka Oktoba 30

Aisee kwa jinsi ulivyo elezea nimekuhurumia kwakweli. Pole sana bhana. Hilo tatizo alikuwa nalo na bimdash wangu alikuwa ana hangaika sana.
Acha tu kuna kipindi nalia mpaka najuta ..ukiwa mwanammke kuna vitu vinauma sana duniani.. huwezi kuvijua mpaka uwe mwanammke... na ya kukute maana wenzetu wanaishi mpaka wanazeeka wanajua uchungu wa kuzaa tu
 
mchumba wangu mwaka huu mwezi wa tatu alipata shida kama yako nikamshauri twende kwa dr hospitalini alipata huduma na sasa hajalalamika chochote...nami ushauri wangu nenda hospitali kwani madr. watakushauri kulingana na uzoefu wao katika kazi.
 
mtoa uzi..... na anae jibu mbona ni wawili tofauti? au ni mapacha wana face matatizo yanayo fanana...?
Nafikiri wewe ndio unajichanganya. Princess anajibu maswali aliyoulizwa tu. Soma tena vizuri mkuu.
 
Una mimba yangu, ole wako uitoe!!
 
Naona hizi mada za wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu pole sana!!!
tatizo la mimba kutunga nje ya kizazi kitaalam tunaita(ectopic pregnancy) tatizo ili uwaga linaambatana na dalili mbalimbali (signs) kama vile maumivu kwenye nyonga makali na yaliyopitiliza

sasa tatizo ili ugundulika baada ya kipimo cha ultrasound (USS) amabacho kitaonesha mahali ambapo mimba iyo imetunga sasa,,,

tiba ambayo ni sahihi ni inategemeana na umri wa mimba (gastational age GA)ambayo itamsaidia mama kuepeuka madhara ya baadae

Tiba yenyew kama daktari alivyokueleza ni kwa njia ya kufanyiwa operation(surgery) hii ndio tiba sahihi na standard duniani kote

ushauri!!!
usihangaike na njia zingine za kitabibu tiba iyo ulioelezwa ndo tiba sahihi kwan itatusaidia kuondoa kilichotungwa nje za mfuko na ivyo kumpa mama releif ya maumivu na pia kuihifadhi mfuko na pia kumpa mama nafas au uwezo wa kushika mimba katika eneo sahihi
Amshukuru blazameni Dr kigwangala maana hii ishu angekuwepo Dr mwaka angekuingiza vidole mpaka ukome
 
Asante sana ndugu, umri wa huo ujauzito ni miezi miwili na siku kumi hivi. Nlikuwa nafikiria anywe dawa hizo za methotraxate tusikilizie kwanza ikishindikana tufanye operation ndugu, au huo umri ushakuwa mkubwa?
 
apo sasa integemeana na vigezo mbalimbali kama kiwango cha hormone ya mimba (hcg) mahali ambapo mimba imetungia (position),,and other findings o ultrasound(uss)sasa daktari aliyemuona alishauri kipi kifanyike!?
 
Alishauri kipaumbele ifanyike operation, baada ya wife kuonekana anakwepa kisu ushauri wa pili alituandikia hzo dawa tukatafute japo alisema saa nyingine hyo ni kama kubahatisha
 
Alishauri kipaumbele ifanyike operation, baada ya wife kuonekana anakwepa kisu ushauri wa pili alituandikia hzo dawa tukatafute japo alisema saa nyingine hyo ni kama kubahatisha
mara ya mwisho kumwona ilikua ni lini na wife ana mda gani toka aanze kutumia izo dawa!!!? na bado anapata maumivu yake yale yaliyo makali!?
 
mara ya mwisho kumwona ilikua ni lini na wife ana mda gani toka aanze kutumia izo dawa!!!? na bado anapata maumivu yake yale yaliyo makali!?
Hapana ndugu ndo leo tumemuona so wife hajaanza tumia mkuu
 
mchumba wangu mwaka huu mwezi wa tatu alipata shida kama yako nikamshauri twende kwa dr hospitalini alipata huduma na sasa hajalalamika chochote...nami ushauri wangu nenda hospitali kwani madr. watakushauri kulingana na uzoefu wao katika kazi.
ulimpeleka hospital gani?
 
Mambo 2 ya kufanya ni
1: fanya ultrasound

2: check hormo hifuatazo

Lutenizing,folical stimulating prohesterone na estrogen.

Bila hayo mambo huwezi pata jibu sahihi ya kinacho kusumbua .!!

Hormone: clinical chemistry na fikiri 12000@ 1
hospital gani ndugu?
 
kabla sijatoa suggestion yangu naamin daktari aliyewaona amewapa tarehe ya kurudi ili kuangalia mwemendo mzima(follow up)!!!!?
Eeeh mkuu amesema baada ya dawa kumalizika au mara tu tatizo litapoonekana kuongezeka zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…