chambimagaka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2017
- 288
- 338
Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee...bonge la nondo.Dalili kuwa una tatizo katika Homoni za kike
1. Kuwa na kitambi cha tumbo la chini
2. Kukosa mtoto kwa muda mrefu
3. Kukosa hamu ya tendo la ndoa lenye kuambatana na maumivu makali
4. Mwili kuwa unauma sana hasa misuli bila sababu ya msingi,kuumwa sana kichwa bila sababu ya msingi
5. Kuwa na ndevu nyingi kupita kiasi sehemu za usoni na kifuani
6. Kuwa na hedhi ambayo haina mpangilio, unaweza kuingia mara mbili hadi tatu kwa mwezi mmoja na unaweza usipate kabisa hata miez 6 hadi mwaka
7. Kuwa na hedhi iliyojaa woga mkubwa sana
8. Kuwa na hedhi yenye kuambatana na kichefu chefu, kuharisha
9. Kuwa na hedhi yenye kuambatana na maumivu makali sana
10. Kuwa na hedhi ya muda mrefu zaidi ya siku 7 unatumia zaidi ya pedi 2
Je kati ya hizi dalili ngapi unahisi unazo
Nataka kufahamu ili
Niendelee kupekuwa kwenye kitabu nikupe tiba nini ukifanya
1 2 4 6 7 10Dalili kuwa una tatizo katika Homoni za kike

Muwe mnakua makini na munaowapa Papa !! Wengine ni waume zawatu washafanyiwa makafara na wake zao.bora wewe hujapata, mm mwaka wa 2 huu....
yani inatoka kutwa nzima matone matano labda...
naona bora ww haitoki kabisa
Habari ndugu zangu.
Mara ya mwisho kuingia siku zangu ni Octoba 30, hadi leo hii December kimya inapita tu siielewi na nimepima UPT sina ujauzito, wakati chuchu zinauma na wajati mwingine timboni najihisi kama nakaribia period lakini hakuna chochote kinachotoka. hali hii inanichanganya,
Kuna rafiki kuniambia yaweza kuwa homon imbalance sasa sijui ni sahihi au la na sijui matibabu yake ni yapi ili niweze kuona ada yangu ya kila mwezi
Kwa mwenye kuelewa naomba unisaidie tafadhali.