Msaada: Sijapata hedhi toka Oktoba 30

Aisee...bonge la nondo.
 
1 2 4 6 7 10
 
bora wewe hujapata, mm mwaka wa 2 huu....
yani inatoka kutwa nzima matone matano labda...

naona bora ww haitoki kabisa
Muwe mnakua makini na munaowapa Papa !! Wengine ni waume zawatu washafanyiwa makafara na wake zao.

Wengine wanamizambi yakila aina ,mikosi chungu nzima ,wakishawalala wanawaachia matokeo yake nihayo..

Natania tu ndugu !!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…