Msaada: Sijawahi mpata mwenye bikira

Msaada: Sijawahi mpata mwenye bikira

Sasa wewe itakua unawatongiza wa chuo Au unakutana nao ,sokoni barabarani ma bikra awazuruli ovyooo alafu wengi under 18 so be carefully Au nenda manzese wakakuchongee simple tuuh yani
Ushauri mzuri kumbe zipo za kuchonga
 
ww mwenyewe bikra mpk utake mwenye bikra
 
mabikra wanatafuta mabikra wenzao wew kalime tu Badala yakutafuta mwenza wakuyajenga unatafuta bikra nyau kweli wew
 
Mkuu kupata mwanamke bikira na kumbikiri hiyo ni mpaka uwe umeandikiwa.
Maana ww unalalamika hujampata wakati kunamwingine kaisha wabikiri zaidi ya 3. Its a game of chance Mr.
 
Back
Top Bottom