Msaada: Sijawahi mpata mwenye bikira

Msaada: Sijawahi mpata mwenye bikira

Mkuu kupata mwanamke bikira na kumbikiri hiyo ni mpaka uwe umeandikiwa.
Maana ww unalalamika hujampata wakati kunamwingine kaisha wabikiri zaidi ya 3. Its a game of chance Mr.
Nimekuelewa mkuu
 
Yani nyie wanaume mnachekesha na mna visa,sasa utake bikra apo ulipo we mwenyew ushapitia wangap!!!!Wewe apo ulipo bikra?mpk utake bikra mwnzio
Sasa nina nafasi nzuri ya kuuliza maana naona hili swali limejirudia haya bikra wa kiume anakuwaje
 
Tanzania ya viwanda ilee inakuja

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
jamani msema kweli mpenzi wa mungu kila mwanamke ninae mpata tayari wenzangu washapita sasa najitahidi kuwapata na wadogo zaidi naogopa kesi

Mliowahi kuipata hebu nitupieni maujuzi
Kama hukucheza kale kamchezo ka tayariii bado basi usitegemee kupata binti bikra kwa kizazi cha sasa.
 
Sasa nina nafasi nzuri ya kuuliza maana naona hili swali limejirudia haya bikra wa kiume anakuwaje
[emoji28]Sjui,ushapitia wanawake 10+ alaf unaanza kusema unataka mwanamke bikra[emoji38]mhhh ,si mtulie na haohao mlopata
 
Na hili nalo ni la kuomba MSAADA,
Ungeomba ushauri tu,
Angalia usijemalizia ujana wako jela,kwa kupenda bikra
 
Unazungumzia bikra ya wapi Mkuu siku hizi wanazo mbili
 
daaah me nina bahat na hizo kitu ila zinaboa mana mschan anakuwa haelew kitu so kumtoa kweny kochi hadi umpelek kitandan lazm uwe mjanja la sivo mtaishia story mana ukimgusa utaskia oooh kwan vp
so sad
 
Back
Top Bottom