mtumwa wa mungu Member Joined Dec 27, 2014 Posts 38 Reaction score 3 Dec 30, 2015 #1 Habarini za saa hizi wapendwa, Jamani eti kichwa kuuma na mwili kuuma mara baada ya siku moja baada ya ku 'do' (kufanya mapenzi) ni dalili za ujauzito au ni kuchoka tu? Maana naona ni mapema sana. Wenzangu mnaoelewa mnisaidie.. Heshima kwenu..
Habarini za saa hizi wapendwa, Jamani eti kichwa kuuma na mwili kuuma mara baada ya siku moja baada ya ku 'do' (kufanya mapenzi) ni dalili za ujauzito au ni kuchoka tu? Maana naona ni mapema sana. Wenzangu mnaoelewa mnisaidie.. Heshima kwenu..
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Jan 1, 2016 #2 Nenda kamuone Daktari akupime.@mtumwa wa mungu
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,625 Jan 1, 2016 #3 Siku moja baada hiyo sio ya kwendana na mimba. Na kama unataka mimba acha kuifikiria. Nenda kwa Daktari au viungo vyako havijazoea ku do, au haufanyi mazoezi pia.
Siku moja baada hiyo sio ya kwendana na mimba. Na kama unataka mimba acha kuifikiria. Nenda kwa Daktari au viungo vyako havijazoea ku do, au haufanyi mazoezi pia.
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,666 Reaction score 12,178 Jan 1, 2016 #4 kunywa maji mengi mkuu, usiwe mvivu kunya maji