Samahan hem dadafua kduchu inapatkana wap hy app inakuajekuna app inaitwa my calendar aisee inasaidia kama akipnga data zake vyema yaan siku ya mwanzo ya hedh na hapo itamwonesha ln siku salma na hatr na lin mzunguko mwengne wa hedhi unafatia..
mwambie ajaribu hyo..huo ndo msaada wangu..
ngja wengne waje na maujuz yao ya kuhesabu kalenda kinaga ubaga
Samahan hem dadafua kduchu inapatkana wap hy app inakuaje