Msaada: Siku salama kwa mwanamke anaeenda siku 35 na 28

Msaada: Siku salama kwa mwanamke anaeenda siku 35 na 28

Hollyman

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
283
Reaction score
77
Nimekua na uzoefu kwa free days ambazo mwanamke hawezi pata mimba siku 28.

Lakini jamaa yangu mke wake anaenda siku 35 mpaka 37.

Siku free ni zipi hapo manake jamaa anamwaga nje tu?
 
kuna app inaitwa my calendar aisee inasaidia kama akipnga data zake vyema yaan siku ya mwanzo ya hedh na hapo itamwonesha ln siku salma na hatr na lin mzunguko mwengne wa hedhi unafatia..
mwambie ajaribu hyo..huo ndo msaada wangu..
ngja wengne waje na maujuz yao ya kuhesabu kalenda kinaga ubaga
 
kuna app inaitwa my calendar aisee inasaidia kama akipnga data zake vyema yaan siku ya mwanzo ya hedh na hapo itamwonesha ln siku salma na hatr na lin mzunguko mwengne wa hedhi unafatia..
mwambie ajaribu hyo..huo ndo msaada wangu..
ngja wengne waje na maujuz yao ya kuhesabu kalenda kinaga ubaga
Samahan hem dadafua kduchu inapatkana wap hy app inakuaje
 
Ok. Anaenda siku kwa siku ngapi anazoona hedhi haswa na si matone?. Kwamfano mimi mzunguko wangu ni kama huo wa 35/37~40 na kwa mfn; nikianza leo tare 10~13 siku nne baada ya hapo naweza ongeza siku 2 ili kizazi kifunge kbs... zinakuwa siku 6 nimepumzika mzungukoni. Sasa baada ya hapo naanza kuhesabu tena siku 5 hizi nakuwa free... alafu siku 9 zinazofata hizi zinakuwa za hatari na ktk hizi siku 9 unaweza jiongezea siku 2 tena au 3 za kujihakikishia usalama zaidi... Alafu zifwatazo ni free mpk uone na mzunguko huu tunauita KALENDA unaweza ukafanya kazi vzr iwapo uko makini wewe na mwenzio. Ikitokea kama umeharibu na ukajijua mimba itakuwa imeshka ndani ya siku 5 unaweza ukatumia njia ya dharuraa ambayo huwa ni hivi vidonge vya uzazi wa mpngo vyenye line nyeupe kwa chini (zingatia sio vile vya mama anayenyonyesha) unameza 3pls kwa mkupuo na baada ya 6hrs unameza tena 3 basi hapo mzunguko wako unarudi sawa na unakuwa salama. Kutumia kalenda ni salama na ni hatari zaidi msipokuwa makini. Katika mzunguko huo mrefu kama haujavurugika siku ya 8~13 baada ya hedhi ni mimba ya mtoto wa kike na siku ya 14 au kama yai limechelewa unapaa ofa ya siku 1 ambayo ni siku ya 15 na unaweza hapa ukaweka siku zngne 3 za kuhakikisha usalama zaidi . Siku ya 14/15 hizi ni mtoto wa kiume na ktk hii ya mtoto wa kiume isiwe ni cha kwanza... chapili ndio kinatakiwa sasa mtajua wenyewe umakini wenu kwenye kile cha kwanza hakikisheni hakiingii hata toneee na inawezekana mkiwa makini haswa mwanaume kwani unajijua kbs safari ya matumaini ikianza kushuka mlimani basi unachomoa na nke umseti vzuri ili amalizie msaada mwingineo ili zitoke na kumalizika ktk utulivu na ukimkomfuse mwanaume hazitoki ama zinatoka kiduchuu sasa zilizobaki si salama maana ndizo zitakazotangulia ktk round ya 2. Baada ya hapooo zilizobakia rahaa jipe mwenyewee... Ukitengeneza kalenda kwa kufata nilivyokueleza utagundua kuwa ktk siku zisizo za hedhi yaani ile siku uliyoanza kuhesabu baada ya hedhi pana siku 8 salama na siku 9 za hatari na ukijumlisha unapata nusu ya mzunguko wako wa 34/35. Kingine ni kuwa kwa mzunguko huu mrefu hata siku ya 8 baada ya hedhi unaweza shika mimba. Nadhani utakuwa umenielewa angalau kidogo na siku hizi mambo yamerahisishwa unaweza ukagugooo kwa kuandika www. njia za uzazi wa mpango.com basi zitakuja zoootee na utasoma zaidi au tembelea vituo vya afya ya mama na mtoto MARIE STOPERS nadhani vituo hivi ulipo wapoo na utapata dktr utaweza zungumza naye na kuuliza maswali yako yoote.
 
Samahan hem dadafua kduchu inapatkana wap hy app inakuaje

ingia play store zipo nyingi tuu achague atakayoiona inafaa....den iafungue na maelekezo mengne atayakuta humo..siku ya mwisho kupata mp na lin alimaliza pia mzunguko wake kama siku28 au35 nk..
 
Back
Top Bottom