Msaada Siku ya Kutunga Mimba kwa Mtu mwenye mzunguko wa Siku 32

Msaada Siku ya Kutunga Mimba kwa Mtu mwenye mzunguko wa Siku 32

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,541
Reaction score
2,187
Wana JF naomba kupatiwa maelekezo ya kina juu ya kutunga mimba kwa Mwanamke mwenye mzunguko wa Siku 32,

Vile vile ambae anaingia MP Siku 3, Mfano mwezi huu ameingia tarehe 9 mpaka 11, Je ni tarehe gani muafaka wa mtu mwenye mzunguko kama huu kutunga mimba?

Naomba maelekezo yaanzie tarehe 9 mpaka 11 ya mwezi huu aliomaliza MP yake.

Ntashukuru kwa Msaada wenu
 
Jamani leo hakuna Madokta hamu JF!

Lengesha siku ya 12, 13, 14, na 15 tokea siku ya kwanza ulipoanza bleed. Hapo lazima inase Kipindi hicho huwa kiko sexually active so utaenjoy tu kufanya mapenzi siku nne mfululizo.
 
Lengesha siku ya 12, 13, 14, na 15 tokea siku ya kwanza ulipoanza bleed. Hapo lazima inase Kipindi hicho huwa kiko sexually active so utaenjoy tu kufanya mapenzi siku nne mfululizo.

Mkuu kumbuka uyu anaenda Siku 32 na Siyo Siku 28, hapo ndo ishu mkuu
 
hesabu 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13
hapo redi NDO ANAPATA MIMBA
ZAIDI SANA HIYO RED KUBWA
 
hesabu 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13
hapo redi NDO ANAPATA MIMBA
ZAIDI SANA HIYO RED KUBWA

Shukrani Mkuu nimekusoma
 
cheki pia kwa goole pregnancy calculator ila nilivokuandikia ndo hivo hivo jaribu kwanza hivo mwezi huu ikikoga njoo tena nikupwe ujanja mwingine

Pouwa mkuu ngoja niingie mitamboni ntafanya Mrejesho
 
Back
Top Bottom