Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,541
- 2,187
Wana JF naomba kupatiwa maelekezo ya kina juu ya kutunga mimba kwa Mwanamke mwenye mzunguko wa Siku 32,
Vile vile ambae anaingia MP Siku 3, Mfano mwezi huu ameingia tarehe 9 mpaka 11, Je ni tarehe gani muafaka wa mtu mwenye mzunguko kama huu kutunga mimba?
Naomba maelekezo yaanzie tarehe 9 mpaka 11 ya mwezi huu aliomaliza MP yake.
Ntashukuru kwa Msaada wenu