Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,541
- 2,187
Jamani leo hakuna Madokta hamu JF!
Lengesha siku ya 12, 13, 14, na 15 tokea siku ya kwanza ulipoanza bleed. Hapo lazima inase Kipindi hicho huwa kiko sexually active so utaenjoy tu kufanya mapenzi siku nne mfululizo.
Jamani leo hakuna Madokta hamu JF!
hesabu 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13
hapo redi NDO ANAPATA MIMBA
ZAIDI SANA HIYO RED KUBWA
cheki pia kwa goole pregnancy calculator ila nilivokuandikia ndo hivo hivo jaribu kwanza hivo mwezi huu ikikoga njoo tena nikupwe ujanja mwingineshukrani mkuu nimekusoma
cheki pia kwa goole pregnancy calculator ila nilivokuandikia ndo hivo hivo jaribu kwanza hivo mwezi huu ikikoga njoo tena nikupwe ujanja mwingine