The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,228
- 1,447
Naombeni msaada wenu wa mawazo wana jamii,nina girlfriend wangu ni mjamzito lakin mazingira ambayo ananiambia kua ana ujauzito ni tata,kwa maana kaanza period tar13/8 na kumaliza tar16-17/8,then yarehe 18/8 nilikutana nae,na n cku ambayo cdhan kama anaweza kupata ujauzito,
Msaada kama inaezekana kwa sababu zozote mtu kupata ujauzito siku ya sita au ananicheat?