The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,228
- 1,447
Naombeni msaada wenu wa mawazo wana jamii,
Nina girlfriend wangu ni mjamzito lakini mazingira ambayo ananiambia kuwa ana ujauzito ni tata,kwa maana kaanza period tarehe 13/8 na kumaliza tar16-17/8,then tarehe 18/8 nilikutana nae,na ni siku ambayo sidhani kama anaweza kupata ujauzito.
Msaada kama inaezekana kwa sababu zozote mtu kupata ujauzito siku ya sita au ananicheat?