Msaada: simple futari Kwa ma bachelor

Mi nilikula Tu na nikaipenda sijui iliandaliwa vipi lkn ilikuwa nzito nzito na mihogo ilikuwa laini
Pengine hivo ndivo ikivyitayarishwa oh maybevibatengenzwa kwa style nyingine siku nyingine uulize bana
 
Salaam jamani,
Kina dada na kina mama mnisaidie jamani simple futari ya makorombwezo nataka wikiendi hii niitumie vizuri.tunapata tabu sie mabachela, tunafuturu Kwa ugali .
Thanks
Yaani nyie kipindi cha mfungo ndio kipindi cha kula vizuri! Pia inashangaza sana kipindi cha kufunga budget ya chakula inakuwa kubwa kuliko miezi mingine.
Nadhani ingekuwa vizuri mkazidisha muda wa ibada na sio kiwango cha kula.
 
Ahsante bro Kwa ushauri...nimekubali
 
Yaani nyie kipindi cha mfungo ndio kipindi cha kula vizuri! Pia inashangaza sana kipindi cha kufunga budget ya chakula inakuwa kubwa kuliko miezi mingine.
Nadhani ingekuwa vizuri mkazidisha muda wa ibada na sio kiwango cha kula.
Mkuu si kuzidisha Kula...ndio maana nikasema simple..Ila shukran Kwa ushauri
 
Shukran sana dada yangu.....viazi vitamu napikaga kama mchuzi changanya na maharage....we acha Tu!
Hahahaa me vya nazi hua sipendi at least vya kuroast na kitunguu na nyanya au nichemshe nitakula
 
Haya dadaangu..... nashukuru Sana mungu akubariki...hizo tambi lakini naziogopa, nikiziunguza Tu imekula kwangu!
Aaamyn inshallah atubariki wote pia

Nkua makini tu na moto na usiache zikachemka sana
 
Salaam jamani,
Kina dada na kina mama mnisaidie jamani simple futari ya makorombwezo nataka wikiendi hii niitumie vizuri.tunapata tabu sie mabachela, tunafuturu Kwa ugali .
Thanks
pika supu ya pweza na miguu ya bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…