Anataka futari simpo ati...sass wewe unaleta mlolongo wa kwenda Buguruni kununua viazi,aje amenye,achemshe nyama,kisha achanganye na viazi,alafu aanze mambo ya kupika tambi,sijui aweke mafuta,ziive,achemshe uji....kwani amemualika makamu wa rais Samia getto??
Mkuu
byeyombo wewe nunua mihogo chemsha kisha kata kachumbali yako saaaafi jipigie mautamu ya futari,mie ndio naishi hivyo mkuu..yani futari inanoooooga mpaka basi...ratiba ya kuosha vyombo inakua poa kabisa mkuu!
View attachment 521781 View attachment 521782